Legal

Terms of Service

Masharti ya matumizi ya VIKOBA360 kwa tenants, admins na members.

Matumizi ya Mfumo

VIKOBA360 hutumika kusimamia taarifa za kikoba kwa mujibu wa plan, roles na permissions zilizowekwa. Kila tenant inawajibika kuhakikisha taarifa zinazoingizwa ni sahihi na watumiaji wake wana mamlaka stahiki.

Matumizi ya mfumo kwa uwaziUlinzi wa data za wanachamaMajukumu ya admins na membersUtaratibu wa malipo na leseni