Admin Dashboard
Muhtasari kamili wa kikoba: akiba, mikopo, marejesho, faini, gawio, benki na zaidi.
Tazama Zaidi →Kuanzia michango, mikopo, marejesho, faini, gawio, miradi ya jamii, investments na ripoti za fedha — yote ndani ya mfumo mmoja salama na rahisi.
Mfumo umejengwa kwa ajili ya vikundi vinavyojiendesha kwa sheria, michango, mikopo na maamuzi ya pamoja.
Kila moduli inasaidia kikundi kusimamia taarifa kwa uwazi na kupunguza kazi za kurudia.
Sajili wanachama, weka michango na historia.
Omba, idhinisha na fuatilia mikopo.
Weka sheria na penalties automatically.
Hesabu dividends kulingana na formula.
Fuatilia mitaji, faida na miradi.
Charity funds, impact na matumizi.
Record vikao, time, lunch, charity na reminders.
Dashboards maalumu kwa kila nafasi ndani ya kikoba chako.
Muhtasari kamili wa kikoba: akiba, mikopo, marejesho, faini, gawio, benki na zaidi.
Tazama Zaidi →Mwanachama aone akiba yake, mikopo, marejesho, faini na gawio lake binafsi.
Tazama Zaidi →Ufuatiliaji wa fedha zote: mapato, matumizi, bank, cashbook na reconciliation.
Tazama Zaidi →Omba au idhinisha mikopo, ona outstanding, late repayments na risk score.
Tazama Zaidi →Ona investment zote, faida zinazotarajiwa, asset tracking na reports.
Tazama Zaidi →Fuatilia miradi ya jamii, fedha zilizotumika, wanufaika na impact report.
Tazama Zaidi →Ripoti za PDF/Excel: mapato, matumizi, mikopo, gawio na audit trail.
Tazama Zaidi →Kwa UNIDA: vikoba vyote, leseni, mapato, support na performance.
Tazama Zaidi →VIKOBA360 ina sehemu ya kuhifadhi kila kikao na kila activity ya kikundi.
Record waliohudhuria, waliochelewa, waliokosa, muda wa kuanza/kumaliza na fine ya kuchelewa.
Open Attendance →Andaa event, invite members, track confirmations, budget, payments, photos na feedback.
Open Events →Record beneficiaries, budget, expenses, receipts, approvals, photos na impact report.
Open Projects →Reminders kwa WhatsApp/SMS/App kuhusu meetings, repayments, events na project updates.
Open Notifications →