Namna VIKOBA360 inavyolinda taarifa za tenants na wanachama.
Taarifa za kikoba hutenganishwa kwa tenant_id na zinapaswa kufikiwa na watumiaji wenye role na permission sahihi. Mfumo umeandaliwa kuunga mkono audit trail, session security, backups na access controls kwenye production.